Dk Dalaly Kafumu afunika kata ya Mwisi

Jamani mimi naomba niulize Hao waliosimama hapo mbele ni watoto au wakubwa wamedumaaa? na ukisema watoto thibitisha
 
Ushindi wa CCM Igunga lazima!
By any means tutashinda
Hilo ndilo linalotia shaka, kwa hiyo sio ushindi wa kura but ni by any means? Lakini msisahau tamko la Heche kuwa vijana sasa hivi wanataka haki itendeke na hawatakubali kuibiwa.
 
attachment.php
Kiwanga+na+Kasulumbai.JPG
Tofauti ya hizo picha mbili inajieleza yenyewe kabisa. Wanaomsikiliza Mgombea wa CCM wanaonekana wameduaa kama vile wamelazimishwa kuhudhuria mkutano huo na huo msafara wa Chadema wanaonekana wamehamasika kwa dhati la walitendalo. kwa nini hali hiyo?
 
Mgombea Ubunge jimbo la Igunga mkoani Tabora kwa tiketi ya CCM, Dk Dalaly Kafumu akihutubia mkutano wa kampeni jana katika Kata ya Mwisi jimboni Igunga, Uchaguzi wa jimbo hilo unafuatia kujiuzuru kwa mbunge wa zamani wa jimbo hilo Bw. Rostam Aziz. (Picha na Bashir Nkoromo)

attachment.php
Duh...! Zaidi ya 50% ni watoto...! Halafu kata yenyewe Mwisi! Si ingeitwa Mwizi tu?

Ushindi wa CCM Igunga lazima!
By any means tutashinda
Hata kwa kumwaga damu?

Hata kwa kuwatafuna wake wa makada wenzenu?
Mkuu si walikuwa wanafanya kampeni ya "kitanda kwa kitanda".....?
 
Back
Top Bottom