Dk. Biteko atembelea bunge la Morocco

Dk. Biteko atembelea bunge la Morocco

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
31,553
Reaction score
89,518
Hakuna asiyejua kila kona ya dunia watu wanaiongelea Tanzania. Wengine wenye niambaya na wengine wenye nia nzuri. Lakini Tanzania kwa sasa ndio kiongozi wa maendeleo ya kweli kwa watu wake.

===
MOROCCO: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko Mei 15, 2025 ametembelea Bunge la Morocco ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi nchini humo.

Akiwa Bungeni hapo, Dkt. Biteko amefanya mazungumzo na Spika wa Bunge la nchi hiyo, Rachid Talbi El Alami na Naibu Spika, Lahcen Haddad katika ofisi za Bunge hilo zilizoko jijini Rabat nchini Morocco.

 
Back
Top Bottom