Dk Bashiru: Tukishindwa kusimamia haki mtutose

Kajitoa ufahamu huyu propesa wakati ukweli anaujua.

Kwa maana nyingine kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa watu wasikipigie kura maana hawasimamii haki kabisa kwa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…