me kwakweli Dr Benson Banna alinifundisha UDSM kozi inaitwa "public administration in tanzania" na pia prof Rwekaza mukandara alinifundisha kozi inaitwa "organisation theories", ila kwakweli Dr Banna ni wa kumpuuza kbs maaana yule anajua kujikomba sijawai ona,ni kama mwanamke kwa jinsi anavyojua kujikomba,alijikomba kwa mukandala mpk akampa ukuu wa idara ya PSPA maana kila siku darasani alikua akimfagiulia mwanzo mpk mwisho,kwaiyo nazan hapo alipo atakua anajaribu kujikomba kwa kikwete walau ampe hata shavu la kua mshauri wake,kwaiyo me hta sishangaii