masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,621
- 14,577
Nami nimeionaHawa Maprofesa nao wawe wanaangalia interview za kufanya, anakubalije kufanyiwa interview na kilazerrr?
huyo mwuliza maswali yeye ni nani kila kitu ajue? Siasa ajue, uhandisi, sheria, n.k?Muuliza maswali hakuwa amejiandaa
ITV lazima iongozwe na vipindi vyenye viwango.Sikuangalia kipindi...... alikuwa bwana Sam Mapesa?? Kama ni mapesa ameshawahi kujadiliwa hapa mara kadhaa kuwa kile kipindi hakimudu
Maandalizi ilikuwa yaanzie mbali zaidi, elimu,elimu,elimu!Muuliza maswali hakuwa amejiandaa
Hapo ndio kwenye tatizo la waandishi wengihuyo mwuliza maswali yeye ni nani kila kitu ajue? Siasa ajue, uhandisi, sheria, n.k?
Unapokuwa mwandishi wa habari, ukamwalika mtaalam wa fani yoyote kufanya nae mahojiano. Inakulazimu mwandishi kuitafiti ile fani ili kuwa na maswali au maelezo ya kutosha!!huyo mwuliza maswali yeye ni nani kila kitu ajue? Siasa ajue, uhandisi, sheria, n.k?
Matumizi mabaya ya maeneo ya kisomi(Academic Areas) na kuyageuza kuwa ya biashara, kama Mlimani City, hayakuulizwa kisawasawa.!
mwamdishi akitakiwa aulize je uhalali wa PHD za wanasiasa wa juu ambazo chuo kimezitoa, wakati kuna ushaidi wa wazi kuwa zimepatikana kwa kunakiri kazi za wengine, je hadhi ya chuo inashuka kwa kugawa phd kwa wanasiasa?Dk 45 ya leo ilikuwa ina bore.
ITV inabidi wajifunze kuweka watu wenye uelewa mkubwa zaidi ili kuwaweka kiti moto wasomi kama Prof Mukandala katika kipindi cha dk 45 ya leo.
Muulizaji maswali kipindi cha leo si msomi, hivyo maswali yake hayakuwa ya kina na naweza kusema general questions.
Maswali ya kitoto kama wahadhiri kuwa na uhusiano na wanafunzi, wanafunzi na mikopo, hostel za wanafunzi, haya yote yangeweza kujibiwa na karani wa wizara elimu ya juu.
Maswali.mazito juu ya uhusiano wa elimu ya juu na sera ya viwanda sikuyasikia.
Maswala ya matumizi na mafanikio ya utafiti wa wasomi wetu sikusikia.
Matumizi mabaya ya maeneo ya kisomi(Academic Areas) na kuyageuza kuwa ya biashara, kama Mlimani City, hayakuulizwa kisawasawa.
Uwekezaji kitaifa katika elimu ya juu, R&D yaani utafiti katika teknolojia, matazamio katika eneo hilo kiujumla ~hakuna kabisa!
ITV, leo mmempa Prof Lwekaza Mukandala, a walkover!
Pengine kwa akili yako biashara nzuri zaidi ni kukiuza chuo kabisa kwa faida.Chuo kikuu kina kitivo cha Biashara hicho kitivo umahiri wake ulitaka wakauonyeshee wapi kama sio kupanga mipango kama hiyo ya kibiashara kwenye eneo la chuo?
Vvyu vyenye vitivo mfano vya uhandisi huzalisha hata bidhaa za kuuza.Umahiri wao unatakiwa kuonyeshwa kwenye maeneo yao ya chuo ona chuo cha Makerere wanaanza uzalishaji wa magari
Mkuu kuna vilaz.a wana akili za ajabu sana.Pengine kwa akili yako biashara nzuri zaidi ni kukiuza chuo kabisa kwa faida.
Ni kituko hatari sana kuona mwendeshaji hajajiandaa na wakati tayari kipindi chenyewe kimeshaandaliwaMuuliza maswali hakuwa amejiandaa