Banda hata yeye alijua kitambo ni 50/50 kubaki ndiyo maana Simba waliendelea kumtunza vizuri hadi wakaenda naye Uturuki ndiyo maana hata alivyoachwa kaondoka kiroho safi hana kinyongo na mtu. Sitashangaa kama Simba ndiyo walimtafutia timu. Sasa huyu Shabani si alikuwa anaenda TFF kulalamika Yanga haitaki kumuachia?