Dji Mini 2 Drone ipo sokoni

Dji Mini 2 Drone ipo sokoni

Mafian cartel

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2021
Posts
4,199
Reaction score
7,750
Drone ni used imetumika nje ipo clean sana

Sifa za drone

•12MP Camera
•4K Video at 30fps
•3-Axis Gimbal
•4x Digital Zoom
•JPEG & RAW Photo Formats
•31-Minute Flight Time
•10km Transmission Range (OcuSync 2.0)
•Level 5 Wind Resistance
•Max Speed: 57 km/h (Sport Mode)
•QuickShots (Dronie, Helix, Rocket, Circle, Boomerang)
•Panorama Modes (Sphere, Wide-Angle, 180°)
•Return to Home (RTH)

Price:1,300,000/=
Kimara,Dar es salaam Tanzania

Calls/Whatsapp;0757187238
IMG_0359.jpeg
 
Kunguru wanaoiba kofia wataiacha kweli? Just kidding

Vipi kuhusu kibali kinapatikana wapi? Maana ninataka kwa ajili ya mifugo
 
Kunguru wanaoiba kofia wataiacha kweli? Just kidding

Vipi kuhusu kibali kinapatikana wapi? Maana ninataka kwa ajili ya mifugo
Mkuu,kibali wanatoa mamlaka ya anga (TCAA)

Kuna vibali vya aina mbili

•Kusajili drone
•Leseni yako wewe mtumiaji

Sasa hapo wengi wanaokata leseni ni wale photographers na video graphers ambao wanatumia drone kwa kiasi kikubwa kwenye maeneo tofauti

Ila kama unataka uitumie kwenye mifugo shambani unaweza kuitumia tu kama ni kwenye eneo lako tu
 
Asante sana kwa kunielewesha hivyo
 
Mbona working time ni ndogo sana?
Drone nyingi huwa zina flight time ya dakika 30 kwa battery

hivyo kama utakua unahitaji muda zaidi unaweza kuongeza idadi ya battery zitakazofaa kwa matumizi yako,battery moja ikiisha charge unabadilisha unaweka nyingine
 
Back
Top Bottom