nakumbuka nilikuwa narekodi radio session yake kwenye tapes wakati huo ndio form one nadhani! nilikuwa nashangaa inagongwa beat ya wimbo mmoja lakini mashairi ya wimbo mwingine, yaani ni mixing za hatari! sijui kwa nini ma-dj wa leo hawafanya haya ma-skills! Ndio hivyo tena amekamilisha safari yake hapa duniani! Apumzike Kwa Amani!