DJ mwenye kipaji

Lakini kuna CLUBS Nyingi sana hapa mjini na vituo vya radio, ungeanza kwanza kuwa unawatembelea physically unazunumza nao au UNAJITOLEA ili waone UWEZO wako, naamini UTAFANIKIWA

- UDJ ni HOT CAREER kwa sasa Mkuu.
 
ninazo cv shows nyingi nmefanya za radio & tv ilala kwa sasa ni club pekee
shukran pia
 
Ebu tupe link ya mixing zako ili tuone ulivyojaliwa kipaji chako..
 
Ukiwa kama DJ unaweza ukuwa na connection na madjs wengine kama kina summer, Mackay, dea na wengine unaweza unganishwa kwa wamiliki Wa clubs, au watangazaji pia wanaohusika kama tbway pale next door

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna email hapo juu unaweza kunitxt kwa e mail nikaku2mia mixtape link ndio maana cjaweka link direct

Acha mbwembwe weka hapa kazi zako!!..maneno mengi ya nini? Kelele mtindo mmoja ka soko la ngamiani?
 
Acha mbwembwe weka hapa kazi zako!!..maneno mengi ya nini? Kelele mtindo mmoja ka soko la ngamiani?
pengine hakuna unachokijua niweke hapa alafu iweje? kila m2 ana taratibu zake then ngamia na maneno vinahusia nn na post hii???? wanaoelewa nilichopost ndio wanaonitafuta co nyie mliozoea kuchafua post za wa2.
 
Unatafuta kazi kwa madoido sana
 
Aseee huyu jamaa mbona jeuri ivi... Dah
ujeuri gani ndugu zangu au kuna kitu gani nimekosea? Cwezi kuweka link hapa isipokua nmetoa maalezo namna ya kupata mixtape sasa tatizo ni nini mmezoea mtu akiwa anatafuta kazi anakua vp? au mneniambia kitu nilichowakosea niwaombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…