Dj George Nzunda amefarki dunia Ijumaa jioni na kuzikwa makaburi ya Kinondoni Jana J3. Aliugua ghafla kuanzia Alhamisi. Mungu amlaze mahali pema peponi.......AMEEN
Background info kidogo ingesaidia. Alikuwa wa wapi? Alikuwa anafanyia chombo gani cha habari... n.k. Sasa wewe umeassume kama vile wote tunamfahamu. Anyway apumzike kwa amani. Ametangulia tu and we are right behind him...
Dj George Nzunda amefarki dunia Ijumaa jioni na kuzikwa makaburi ya Kinondoni Jana J3. Aliugua ghafla kuanzia Alhamisi. Mungu amlaze mahali pema peponi.......AMEEN
Huyu alikuwa ndio waanzilishi cloud disko alikuwa akipiga disko na Joseph Kusaga na Bony love miaka ya tisini mwanzoni. Baadaye miaka ya tisini katikati alienda Uk alirudi Tanzania miaka 10 iliyopita na kufanya shughuli zake binafsi