labda utuambie research uliifanya lini
resaerch methodology uliyotumia
the whole population or a sample?if a sample,which sampling technique?
ukijibu hayo maswali uje kuongea na mimi na sio ku-generalize mambo.
Number of sample spaces ni idadi ya daladala standard zinazooperate ndani ya majiji tofauti hasa Mbeya, Dar ambapo kama gari hiyo ina redio, favourite kipindi kinachosikika ni hicho Xxl so ikiwa hujapend njoo na researxh yako inayothibitisha kipindi pendwa si vibaya ukileta pia report inayoonesha hakuna kipindi pendwa hapa bongo.ur welcome