dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,359
Dizzim tv itakuja kuifunika Wasafi. Wanapiga pini za maana sana. Hawa wasafi naona wanaanza kuharibu. Unapigaje nyimbo hata sio kiwango.
Wasafi angalieni bwana. Piga pini za maana msije potea kama ETV na singeli zao.
Hii wasafi Tv na hiyo dizim zinapatikanackwenye kizimbuzi gani
etv imepoteaje.....weka chuki zako pembeniDizzim tv itakuja kuifunika Wasafi. Wanapiga pini za maana sana. Hawa wasafi naona wanaanza kuharibu. Unapigaje nyimbo hata sio kiwango.
Wasafi angalieni bwana. Piga pini za maana msije potea kama ETV na singeli zao.
Bashitedizzim ni ya nani?
Sijajua mkuudizzim ni ya nani?
Wewe huwa unaitazama!?etv imepoteaje.....weka chuki zako pembeni
Nakubaliana nawe mkuuDizzm inaonekana yupo na watu makini cha msingi asibanie tu maslahi ya watumishi wake maana hizi tv zetu kinachouwa ubora ni maslahi kwa wafanyakazi
Watu walipo dizzm wanajua mziki inaonekana wakogwe katika burudani uko wasafi nadhani wapo vijana wa mwaka 90
Sky walkerSijajua mkuu