Hiyo ya kichwani si ndio mmesema hijabu?au mliposema CD wa Igunga kavuliwa hijabu ndio hiyo sasa.Ikoje Mkuu?
Hiyo ya kichwani si ndio mmesema hijabu?au mliposema CD wa Igunga kavuliwa hijabu ndio hiyo sasa.
Daaah! Kweli hiyo ni aina mpya kabisa... Dira linaitwa hijab siku hizi?
Daaah! Kweli hiyo ni aina mpya kabisa... Dira linaitwa hijab siku hizi?
Ni mualifu anadhibitiwa asitoroke.hii vipi ? mbona huyo jamaa anamvuta huyu mwanamke ?