salisalum
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 434
- 159
Diwani wa kata ya Engutoto Ccm amefariki tarehe 8 march 2011,CDM tujipange tuchukue kata hiyo.
Mkuu jirudi kidogo, hayo siyo maadili yetu. Labda kama una utani wa jadi na hawa jamaa. Hata jambazi akifa tunamzika kwa heshima na kuomboleza kunakuwapo pia. Kifo kinatunyenyekeza sote. Tutofautiana kisiasa lakini kibinadamu tuko sawa. Kumbuka ile ahadi yetu ya TANU - Binadamu ni ndugu zangu na Afrika ni moja.