diwani mtalajiwa kata ya muleba mjini

diwani mtalajiwa kata ya muleba mjini

Joined
Jan 2, 2014
Posts
94
Reaction score
18
huyu simwingine bari ni kamanda sijaona mwinamira nimwenyekiti wa selikari ya mtaa wa bukono kata ya muleba mjini kupitia chadema mwenyekiti huyu amesimamia maendereo kwenye mtaa anao hongoza kwa kuakikisha mradi mkubwa wa ujenzi wa soko kuu la ndizi linajengwa na kukamilika kutokana na usimamizi wake ameakikisha visima vya maji saba vinajengwa kwawale waliotaka kumjua sijaona ndio huyo elimu yake ni yakawaida ya msingi nimchapa kazi asie jikweza mkitaka mengine juu ya kamanda huyu nitawapa hapa hakuna uong
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom