Diwani mbaroni kwa kubaka

ngozimbili

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
1,398
1,006
Diwani kata ya Nyugwa wilaya ya Nyang'hwale, mkoa wa Geita,(CCM) ametiwa mbaroni hivi punde kwa kubaka mwanafunzi, uongozi wa wilaya akiwemo mbunge wa Nyang'hwale wanatoa shinikizo kwa OCD amwachie huru. Naweka namba ya simu ya ocd 0787413312.
 
diwani kata ya nyugwa wilaya ya nyang'hwale,mkoa wa geita,(ccm) ametiwa mbaroni hivi punde kwa kubaka mwanafunzi,uongozi wa wilaya akiwemo mbunge wa nyang'hwale wanatoa shinikizo kwa ocd amwachie huru.naweka namba ya simu ya ocd 0787413312.

Namba ya simu ya nini? au Sasa unataka na yeye abakwe au awaoneshe wazee wa mande mahala alipo mbaya wao nae wamshughulikie ?
 
Waambie pindi watapomwachia huyo diwani basi watafanywa kama wale wa Ikwiriri...
 
Amembakia wapi mbona huu ni muda wa darasani au huyo diwani ni mwalimu???
 
nimeshampigia na amesema diwani hatatoka, nimemuamuru iwe hivyo la sivyo habari kesho itatoka CNN
 
Alikuwa anafuata hadithi za kwenye kile kitabu. Eti 'Mwanaume anaruhusiwa kumbaka mtumwa wake ili mradi tu asimuumize' , wat bullshit is this?!
 
Angekuwa wa CHADEMA, hiyo heading hapo juu ingesomeka, "DIWANI WA CHADEMA KORTINI KWA KUBAKA" lakini kwa sababu ni wa magamba basi inasomeka, "diwani mbaroni kwa kubaka"
 
Back
Top Bottom