Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,385
- 289,498
TOA MAONI YAKO
Mbona hata Alute amekufa, the next ni Heche, then Lissu
We kenge, kwa hiyo CHADEMA hawafi sio?
Kuna kufa na kupukutika, tofautishaMbona hata Alute amekufa, the next ni Heche, then Lissu
Utamaduni wa Nchi gani? Hii iliyouwa zaidi ya watanganyika elfu 17?Siasa za chuki.........nje ya utamaduni wetu.
Kifo ni kifo tuMbona hata Alute amekufa, the next ni Heche, then Lissu
Lukasi Mwashambwa wa CHADEMA a.k.a kimada wa Mbowe. Kwa hili umepotoka. Kifo hakichagui na hakuna kuchekana. Hata huyo mume wako Mbowe anaweza kukata moto wakati wo wote.
Karibu sanaPost ya kipumbavu kuwahi kutokea.
Kwanini ufurahie kifo cha mwenzio!
Joined august 2025, ndio maana hujui tofauti very poor!Lukasi Mwashambwa wa CHADEMA a.k.a kimada wa Mbowe. Kwa hili umepotoka. Kifo hakichagui na hakuna kuchekana. Hata huyo mume wako Mbowe anaweza kukata moto wakati wo wote.
Achana na kifo ongelea mengine. Death is a blind equalizer...
Hii haiwasaidii chochote waTanzania.
Does it make sense!, vita kubwa si kudhibiti unachofikiri, bali ni kudhibiti kile kinachokufanya uache kufikiri
Sifa kuu za CHdema ni pamoja na uwezo wa kujizima data, siasa za udini, ukanda, ukabila na kukana uhalisi, mnahisi hamuhusiki na kilichotokea 29 Octoba?Utamaduni wa Nchi gani? Hii iliyouwa zaidi ya watanganyika elfu 17?
Sawa Israel mtoa RohoMbona hata Alute amekufa, the next ni Heche, then Lissu
Anayewalipa ndiye hana akili. Hujui hata unaandika nini. Siyo kosa lakoSifa kuu za CHdema ni pamoja na uwezo wa kujizima data, siasa za udini, ukanda, ukabila na kukana uhalisi, mnahisi hamuhusiki na kilichotokea 29 Octoba?
Kwa hiyo sasa hivi sio Soga na Maislamu? Chato na Wasukuma? Kuna WaTanganyika na WaZanzibar!
Jiangalie you may be next, Mungu kaamua