Diwani aliefukuzwa CHADEMA Arusha ahamia CUF,ni Bayo.

attachment.php

542226_4803233885054_540666043_n.jpg h
 
Huyu jamaa nilimshangaa kitu Kimoja, Wakati anapandishwa Jukwaani Kujitambulisha, Alidai yeye alichaguliwa na Wanachama zaidi ya Buku Moja lakini Kamati kuu yenye watu 45 ikamfukuza, Amesahau CUF nao walikaa na kuwatimua wakina HAMAD RASHID
hapa ndio utajua mtu mwenye akili fupi mkuu... jamaa ameshindwa kuona kule aendako na tunategemea soon tusikie wamemtema.........
 
Chadema inaelekea kufa.baada ya kugongwa na ccm huko mwanza,arusha tena yamekuwa haya
 
Mkuu ni kweli kuwa John Bayo amehamia CUF, lakini inaniwia vigumu kuweza ku determine uwezo wa kufikiri wa Bayo, manake sioni tofauti ya ccm na cuf. Alihongwa na ccm kuiharibu chadema. nitashangaa kama atapewa nafasi ya uongozi na cuf. hata hivyo hana madhara hata wakimpa, alishajipaka mavi!

Yule mama kweli alipewa kadi ya CUF, ni mpango unaoonekana ulisukwa na Bayo, kwani kabla hajapewa kadi alikiri pale jukwaani kuwa mume wake aliuawa na polisi kwenye maandamano ya chadema, na walishirikiana na chadema kuzika na kumsaidia kwa mambo mengine ya kifamilia. akasema ameamua kujiunga cuf. Nilipomwona amevaa hijabu na kuficha mpaka macho nilijua udini umempeleka kule pia.

Kwa kumbukumbu zangu huyu mama aliahidiwa kuendelea kupata msaada kutoka chadema, lakini katika mazingira ya kutatanisha yule mama alitoweka, manake alitafutwa sana baada ya chadema kutaka kumsaidia, hakupatikana!

Mkuu naona mmechanganyikiwa kabisa, vipi Bayo nae ni dini gani? Nasikia wiki ijayo TLP wanakuja Arusha.
 
Mkuu naona mmechanganyikiwa kabisa, vipi Bayo nae ni dini gani? Nasikia wiki ijayo TLP wanakuja Arusha.
mkuu tangu asubuh nilikuwa nategemea utie neno kwenye ule uzi mwingine lkn kimya?? mi nilijua haupo!!

kweli mmebanwa mbavu!!!!!
 
wanasiasa wanaohama hama vyama bila sababu za msingi hawajakomaa kisiasa.
hao ni makanjanja wa kisiasa wanachumia tumbo zaidi kuliko kuwajali wananchi
mwache aende zake,wapo wazuri zaidi yake watakaokuja kuwakomboa wananchi.
 
Kwa namna siasa za Arusha zilivyo mtu kuwa chama kingine tofauti na CHADEMA ni kupoteza muda na nguvu zako bure, ni bora kuwa mwanachama wa club ya mpira ya AFC.
 
wanasiasa wanaohama hama vyama bila sababu za msingi hawajakomaa kisiasa.
hao ni makanjanja wa kisiasa wanachumia tumbo zaidi kuliko kuwajali wananchi
mwache aende zake,wapo wazuri zaidi yake watakaokuja kuwakomboa wananchi.
 
Sijui CCM iliwakosea nini watu wa Arusha na Moshi?

Watu wanaichukia CCM haijapata tokea, ukiwa umevaa sare za CCM ujue kwenye daladala utashushwa, sokoni hautauziwa kitu, mtaani utapigiwa ukunga nk.
 
Ukiona hivyo hujue hali mbaya wiki ijayo TLP nao wanatia timu Arusha chini ya kamanda Dr Mrema.

uploadfromtaptalk1349040057130.jpg
Hapa ni kuelekea kiraracha kwa naibu waziri mkuu mstaafu! Kwiiii kwi kwii
 
Mwaka 2010 CCM ilimwaga pesa nyingi sana Moshi mjini na Arusha mjini nafikiri kuliko eneo lolote Tanzania, lakini kilichotokea hakuna aliyeamini.

Nafikiri ni wakati muafaka kwa CCM na wapambe wao kufikiri kwa makini nini chanzo cha wao kuchukiwa hivi?
 
Uchunguzi wa haraka haraka nilioufanya huku Arusha na Moshi ni kuona Fulana za CCM ndio madekio maarufu kwenye nyumba za wakazi wengi ambao ni makada.
Yaani zimekuwa kama fashion vile.

Nilipo uliza nikaambiwa wamekosa ujasiri wa kuzivaa kuogopa kupigiwa ukunga.
 
hapa ndio utajua mtu mwenye akili fupi mkuu... jamaa ameshindwa kuona kule aendako na tunategemea soon tusikie wamemtema.........

Pengine wameamua kuwa freelancers na wamespecialize kwa mikutano isiyo na mvuto ya CCM na CCM-Bs wakija arusha awe akipanda jukwaani kwa dau la kutwa.
 
Mkuu ni kweli kuwa John Bayo amehamia CUF, lakini inaniwia vigumu kuweza ku determine uwezo wa kufikiri wa Bayo, manake sioni tofauti ya ccm na cuf. Alihongwa na ccm kuiharibu chadema. nitashangaa kama atapewa nafasi ya uongozi na cuf. hata hivyo hana madhara hata wakimpa, alishajipaka mavi!

Yule mama kweli alipewa kadi ya CUF, ni mpango unaoonekana ulisukwa na Bayo, kwani kabla hajapewa kadi alikiri pale jukwaani kuwa mume wake aliuawa na polisi kwenye maandamano ya chadema, na walishirikiana na chadema kuzika na kumsaidia kwa mambo mengine ya kifamilia. akasema ameamua kujiunga cuf. Nilipomwona amevaa hijabu na kuficha mpaka macho nilijua udini umempeleka kule pia.

Kwa kumbukumbu zangu huyu mama aliahidiwa kuendelea kupata msaada kutoka chadema, lakini katika mazingira ya kutatanisha yule mama alitoweka, manake alitafutwa sana baada ya chadema kutaka kumsaidia, hakupatikana!

CMD plated their part sasa kama ni udini umempeleka CUF let her go, historia itamhukumu! na damu ya mumewe itamlilia kwa usaliti!!
 
Back
Top Bottom