Diwani aliefukuzwa CHADEMA Arusha ahamia CUF,ni Bayo.

mbona chadema mapovu yanawatoka? mbona wanaohamia chaema hatuoni tatizo? ubwege wakati wengine ni mzigo.
 
Mkuu naona mmechanganyikiwa kabisa, vipi Bayo nae ni dini gani? Nasikia wiki ijayo TLP wanakuja Arusha.
Wanakiribishwa sana waje waonyeshe uwezo wa kisiasa na si vinginevo.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huyu Bwana Bayo kata ya Elerai anayoishi ndipo nami ninaishi tena ni jirani yangu tu japokua hanifahamu, lakini hata katika uchaguzi uliopita katika kupiga kura nilijishauri mara tatu kuhusu huyu mamluki, aliipata kura yangu kwasababu tu kura ya Uraisi nilimpa Dr. Slaa na ya ubunge nikampa Kamanda! La sivyo!!!!???:A S 39:
 
Bayo ana haki ya kujiunga na chama chochote anachokiona kinamfaa hiyo ndiyo demokrsia yenyewe.
 
Back
Top Bottom