Diwani aibua matumaini mapya CCM Mtwara

Diwani aibua matumaini mapya CCM Mtwara

Che Gwaya

Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Diwani wa kata ya Chuno Mtwara Mjini amekuwa kivutio kwa wakazi wa kata ya Chuno hasa alipotumia muda wake na mchango wake material na immaterial kuwasaidia wakazi wa mtaa wa majengo kuchimba mfereji kuepusha maji ya mafuriko inayoiandama mtaani hapo,baadhi ya Wananchi walisikika wakimsifu kwa kujituma kwake na kupelekea kurudisha imani kwa ccm,hongera Sana Diwani.
 
Back
Top Bottom