haya wale watafiti wa jf kuja hapa
Why do you wanna know? Una mpango wa kubadili jinsia?
aisee hapa umechanganya mambo mawili swala la watoto na swala la kuwai kupata mwenza mwingine.
lakini ni talaka ya kienyeji tuu ambayo itatolewa bila kujali watoto. lakini kama utaratibu umefatwa lazima watoto wafikiriwe kwa upana.
lakini kwa swala la kupata mwenza kwa anaye hitaji kwa haraka huwa sidhani kama linasumbua kabisa sema sasa muhusika mwenyewe hufanya maamuzi. Na mara nyingi tunaona wanaume wanapata haraka ukilinganisha na wanawake kutokana na sababu za kuachana na wenza wao, pengine wanawake uogopa mahusiano mapya na ya haraka kuhofia kuumizwa ukilinganisha na wanaume.