Divorce party ingekua safi hiyo...

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7,602
Reaction score
3,783
Wakuu kwema?

Jamani tumezoea kuona sherehe kubwa na zenye mbwembwe zikifanyika hasa za kuoana, lakin pindi wanapoachana inakua bifu ya kufa mtu hata inafikia hatua ya kutishiana amani hasa kwa walio na pesa zao.

Sasa kwanini watu hawa au kwanini tusibuni tutengeneze japo kakamati kadogo ifanyike sherehe ya kuachana watu tukala vyuku na vyoda na tukacheza na mziki ili hawa watu wakikutana njiani basi hata wasalimiane na pasiwepo na bifu?
 
Na zile stress unadhani kuna mtu anakumbuka hata salamu??
 
Mmh tatizo unaweza kuta kuna upande mmoja hautaki kuachana, sidhani kama kwa mtu wa hivi atataka hiyo party. But ikiwa wote wamechokana mbona divorce party itafanywa tena bila hata kuchangisha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wazo zuri, ikiwezekana ziwepo pete rasmi watu wavalishwe kuonyesha kwamba wameachana
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…