:A S 465:Ogopa nguvu ya umma, Saa ya ukombozi ni sasa!!!!
mkuu dalili zote zinaonesha 'divide et empera' imeanza kufanya kazi - dola imeanza kumu-isolate(kumtenga) kinara!the so-called fourth estate nayo inaipa dola air time kubwa. hebu angalia sura na macho ya vinara hawa - hofu imeanza kutanda, usaliti unanukia:
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=46309&d=1327852608
Ulimboka kupewa kijiti was tactical, MAT were smart and they expected such individual isolation tactic, and Ulimboka knew well the risks...
the clock is ticking!!
kuna nchi gani haina hospitali za serikali?
Wewe unapenda sana dezo. Ulishasikia professor Maji Marefu anagoma?
wewe unakula dezo za medical reform package ya obama halafu hutaki wenzako wafaidike na public hospitals (product of citizens' taxes) ?
PS. Nakamilisha utafiti wa historia ya ubepari Tanzania, mada yako ya kujitegemea inaibuka kila kona - Tanzania hakukuwa na Ujamaa!
kwa nini kina dakta mkopi walimkabidhi mikoba dakta ulimboka? je,watamsaliti?
i dont think watamsaliti kwani hayuko peke yake
na kwa wewe kupick on mwakingwe, naona kama unafanya yaleyale aliyofanya pinda, divide and rule, am i missing something from you?
Nipo mkuu. Ujamaa ulikuwepo lakini they didn't know what they were doing. Itabidi nifanye PHd. in Economics sasa. Toka tuanze miaka hile ya zamani I have covered a lot of grounds in the displine.
great idea, natumai umeshasoma phd ya justinian rweyemamu kuhusu 'perverse capitalist industrial development in tanzania, ndio naisoma sasa
Bado sijaisoma. Kama ipo online nitumie link. Kutokana na crisis ya fedha, kazini tumepewa tenda ya kutengeneza risk management system na knowledge nayopata inaonyesha kuwa zile ideas za De Soto ni tip of the iceberg. Unaweza kuimplement zile ideas na bado ukatoka sifuri.