I iMind Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 3,197 Reaction score 5,396 Nov 10, 2013 #1 Hivi inawezekana ku divert simu ya mtu ikipigwa iende kwenye namba nyingine bila kuwa na handset husika physically?
Hivi inawezekana ku divert simu ya mtu ikipigwa iende kwenye namba nyingine bila kuwa na handset husika physically?
B BUNDLE Senior Member Joined Feb 9, 2013 Posts 140 Reaction score 34 Nov 10, 2013 #2 possible,, but cm utakayo divert lazima iwe na crdt na inakula crdt kama kawaida, na pia gharama zake ni kubwa sana kuliko gharama za kawaida, hata mtu aki beep bila kupokelewa inahesabu kama call na ina charge....
possible,, but cm utakayo divert lazima iwe na crdt na inakula crdt kama kawaida, na pia gharama zake ni kubwa sana kuliko gharama za kawaida, hata mtu aki beep bila kupokelewa inahesabu kama call na ina charge....
Dereo Member Joined Nov 8, 2013 Posts 44 Reaction score 0 Nov 10, 2013 #3 yes it could be expensive i think