Katoa mahari?Wasalaam...
Habari za haraka zinasema yule mtangazi mzuri kuliko watangazi wote nchini na mwenye shape nzuri kuliko watangazaji wote africa mashariki na kati Diva "loveness" ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha mahaba Clouds Fm ametundikwa mimba na mtangazaji mwenzie Michael Lukindo a.k.a "informer"
Inasemekana kijana informer alitumia ule mwanya wa Diva kubwagwa hadharani na kugeuka kama mfariji wake na mwisho wa siku wakaangukia kwenye mapenzi huku wakifanya kazi ktuo kimoja...
Baada ya muda Diva alimwambia informer kuwa nina mimba lakini ndugu Michael alipokea habari hiyo kwa furaha na alikuwa kwenye process za kuacha kazi na kuanza kufanya muziki kama msanii...
Hongera sana Diva...
Ndugu infomer usimtelekeze DivaView attachment 744109
Matumizi mabaya ya neno MZURIHahahahahaha mtangazazi mzuri kuliko wote?????? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].....kaaazi kwelkweli
Hahahahahaa. Acheni kumsimanga shemejiHuyu ndo wakutoa mil 500 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa anavyoonekana hapa ni wale wanaolelewa [emoji1][emoji1][emoji1]
NimeshangaaaMatumizi mabaya ya neno MZURI
Labda uzuri wa effects za camera.Nimeshangaaa
Shemeji Marioo kweli kweli [emoji23][emoji23]Hahahahahaa. Acheni kumsimanga shemeji
Nadhani watafute neno lingine hasa wanapomzungumzia huyo wa Mil 500 [emoji23][emoji23]Matumizi mabaya ya neno MZURI
Shemeji mlamba lips. Mie mzima mama sijui weweShemeji Marioo kweli kweli [emoji23][emoji23]
Mzima lakini??
Waseme mzuri ila sio mzuri kuliko wote alaaa. Wakati hata da Zama kamzidiNadhani watafute neno lingine hasa wanapomzungumzia huyo wa Mil 500 [emoji23][emoji23]
Hahaaaa shemeji wakugombania dressing table na dada.Shemeji mlamba lips. Mie mzima mama sijui wewe