Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,337
- 9,079
Yaani huwezi amini tovuti ya dit ilivyo na muonekano mbaya vile mpaka keroo yaan nilitaka kuappy chuo kikubwa kama kila nikaongeze ujuzi kwenye programming ila baada ya kuona tovuti yao haina mpangilio yaan mbovuu hata ninayoweza kudesign mwenyewe nzuri
Pls jmn DIT mnatuaibisha fanyeni mpango mrekebishe hio tuvuti yenu
eEbu cheki www.dit.ac.tz
Pls jmn DIT mnatuaibisha fanyeni mpango mrekebishe hio tuvuti yenu
eEbu cheki www.dit.ac.tz