Habari wandugu!
Naulizia kama selections za Bachelor pale DIT kwa mwaka huu zimeshatoka.
Kwenye website yao hakuna, ila naona kuna watu wana info tayari.
Mtu yeyote mwenye info juu ya selection ya DIT mwaka huu ni-update as soon as possible!
MY REGARDS!
Hiyo taarifa ya tarehe 5 umetoa wapi mkuu??Kuanzia tarehe 5 yatakapo anza kutoka ya diploma holders, ndipo Dit watatoa yote kwa pamoja.
nacte wametoa tangazo so ingia katka web yao utaonaHiyo taarifa ya tarehe 5 umetoa wapi mkuu??
Tangazo lao halisemi lakini selection ni tar 5,,,msiwape watu matumaininacte wametoa tangazo so ingia katka web yao utaona
Nikweli mkuu hilo tangazo ni kwa waombaji wa cheti na diploma.Wakuu tangazo linawahusu certificate na wanaotarajia kujiunga dipoma tuu
Hapo mpaka mwezi wa kumi mwishoni au 11 mwanzoni hao ndio walivyooo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Habari wandugu!
Naulizia kama selections za Bachelor pale DIT kwa mwaka huu zimeshatoka.
Kwenye website yao hakuna, ila naona kuna watu wana info tayari.
Mtu yeyote mwenye info juu ya selection ya DIT mwaka huu ni-update as soon as possible!
MY REGARDS!
Weka kwenye jukwaa kama wametoaMmmm wametoa bn