Mariam Sikazwe Member Joined May 12, 2016 Posts 27 Reaction score 11 Jul 23, 2016 #1 Habari wadau ningependa kujua aliyeapply nacte kwa kozi hiyo ambaye amechaguliwa naomba kupsta uzoefu wake namna alivyofanya maana mimi nimekosa sijui kwa kuwa nina mwaka mmoja kazini sijapewa sababu. Msaada please
Habari wadau ningependa kujua aliyeapply nacte kwa kozi hiyo ambaye amechaguliwa naomba kupsta uzoefu wake namna alivyofanya maana mimi nimekosa sijui kwa kuwa nina mwaka mmoja kazini sijapewa sababu. Msaada please
Mariam Sikazwe Member Joined May 12, 2016 Posts 27 Reaction score 11 Jul 26, 2016 Thread starter #2 Mpo wapi???