Naombeni msaada kuhusu display ya simu yangu kujaa rangi na kutoonyesha kitu chochote kila ikiingia kwenye standby mode au nikiizima na kuiwasha mara nyingine inajaa rangi na kutoonyesha chochote. Wakati mwingine inabidi nitoe betri na lain kwa muda fulani afu nikivirudisha ndo display inakuwa sawa, na kuna wakati mwingine simu inapiga kazi bila tatizo lolote kwa siku nzima. Nifanye nini kusolve tatizo hili?
iyo 5800 inalensi ya mwanga juu ya hapo palipoandikwa xpressMusic iyo lensi imeanza kufa na ukitaka kuitest iweke kwenye mwanga wa jua itapiga kaz fresh,kadri siku zinavyoenda ugonjwa utazidi,pole
Kwa hiyo kuitengeneza ni hadi hiyo lensi ibadilishwe au ni kubadilisha display? Nilishauriwa ni downlodi standby clock. Nimeidownlodi, na kwa kiasi fulani tatizo limepungua, ila badala ya screen kuwa 'fuzzy', simu inajizima. Any help?