Idrisa1510
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 272
- 423
Jaribu kuchukua monitor ya nje na connect kwa vga then washa mashine kama bado kuna tatizo Badili kioo, hicho kioo ni slim vipo vingi tuu. tatizo likiendelea Video card itakuwa imezingua Tafuta Fundi Aichome ila haita kaa sana kabla ya kufa kabisa.Ninatumia laptop aina ya Lenovo T440p. Nimeiwasha inaonyesha kua imewaka lakin screen imegoma Ku display (kuwaka).
Mwenye shortcut ya namna ya kufix hili tatizo anisaidie tafadhali.View attachment 986379
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu imagomaJaribu kuchukua monitor ya nje na connect kwa vga then washa mashine kama bado kuna tatizo Badili kioo, hicho kioo ni slim vipo vingi tuu. tatizo likiendelea Video card itakuwa imezingua Tafuta Fundi Aichome ila haita kaa sana kabla ya kufa kabisa.
Fanya mpango fundi achome hiyo Graphics card
Na mimi lenovo G50 imekufa. Nilinunua mpya kabisa, baada ya mwaka wa waranty kuisha ikafanya hivyo.Ninatumia laptop aina ya Lenovo T440p. Nimeiwasha inaonyesha kua imewaka lakin screen imegoma Ku display (kuwaka).
Mwenye shortcut ya namna ya kufix hili tatizo anisaidie tafadhali.View attachment 986379
Sent using Jamii Forums mobile app
yangu ilikua Lenovo G 580 , baada ya mwaka tu , kioo chali.lenovo G50 imekufa. Nilinunua mpya kabisa, baada ya mwaka wa waranty kuisha ikafanya hivyo
Yangu imepona, nimchezo mdogo umefanyikaNa mimi lenovo G50 imekufa. Nilinunua mpya kabisa, baada ya mwaka wa waranty kuisha ikafanya hivyo.
Nikaambiwa imekufa video card (sijui ndio graphics). Fundi kajaribu kuchoma bila mafanikio. Labda ndio ugonjwa wake.
hio inaonekana iliungua GPUNa mimi lenovo G50 imekufa. Nilinunua mpya kabisa, baada ya mwaka wa waranty kuisha ikafanya hivyo.
Nikaambiwa imekufa video card (sijui ndio graphics). Fundi kajaribu kuchoma bila mafanikio. Labda ndio ugonjwa wake.
WAMEFANYAJE?
1.Discconect laptop yako kama iko connected kwenye charging system.WAMEFANYAJE?