Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,423
- 31,458
Huyu bwana ameandika na kuacha facts nyingi. Katika EAC hatujafikia hatua ya free movement of people and capital.
Hilo bado kwahiyo asitumie EAC kama kisingizio.
Free movemnet of people haina maana kuingia hovyo ina maana kuingia kwa kufuata utaratibu.
Huwezi kuingia tu nchi yoyote ya EU bila utaratibu. Tanzania inapakana na nchi 8, nyingi kuliko taifa lolote la EAC
Kama free movement ni hiyo anyoongelea huyu zuzu, basi hakuna free movement kwasababu Africa yote itakuwa na 'free movement' na Tanzania kuwa shamba la bibi kutokana na matatizo waliosababisha kwao kwa kugawa ardhi hovyo kama walivyofanya Kenya na Rwanda.
Pili, wasimtumie Nyerere katika kuhalalisha uhalifu. Mbona Mwinyi na mkapa wametoa urai kwa watu zaidi ya 160,000 pengine wengi zaidi ya Nyerere! Wanamtumia Nyerere kama jina na kinga.
Tatu, huyu bwana anasema eti Tanzania inahofia wananchi wa nchi nyingine watachukua kazi. Stupid Dismas Nkuna anaacha facts kubwa sana. Wahamiaji haram hawakuja Dar walikuwa Kigoma na Kagera wakipora mapande ya ardhi. Kwahiyo tatizo ni ardhi na ndiyo maana kuna wahamiaji haramu. Wengi wao hawajui hata kuandika majina kwahiyo si tishio kwa kazi, ni tishio kwa ardhi.
Nne, tatizo la mpaka na ushuru kule Rusumo halikufikia hatua ya kuwa na economic crisis. Huyu bwana anajaribu kutisha. Wakati wa mauji ya Kimbari Tanzania ilikuwepo bila Rwanda sidhani Rwanda ni soko la maana kuleta crisis.
Ili kuonyesha Tanzania ni mbaya mara zote wanatumia hoja za hovyo kama za Dismas.
Ni mtanzania gani anayeweza kupata ardhi Kisii Kenya au Kigali au Baganda empire.
Kwanini Kenya na Uganda walitaka kupigana kwa kisiwa cha KM 1.
Kwanini wanapokutana akina Kagame, Uhuru na Museveni hawaongelei ardhi, Tanzania ikiwepo hiyo ndiyo ajenda.kwanini!
Hakuna taifa linaloweza kuishi bila kuwa na sheria. Hakuna mtu wa nchi jirani aliyefukuzwa akiwa na uhalali.
Wanaofukuzwa ni wahamiaji haram ambao stupid Nkunda hawasemi. This article is too low ! shame on you Nkunda.