Dishi la Kisimbusi cha Continental Chapewa Mwelekeo Mpya

gomer

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
290
225
Habari njema kwako mteja wa kisimbusi cha Continental unayetumia dish sasa marekebisho ya mitambo yetu yamekamilika. Tupate kwenye Satelite ya Azerspace 2 45E Freq 11637 SR 30,000, Mod8PSK , FEC 3/4 , Pol V. Wasiliana na fundi aliye karibu nawe kupata msaada wa kuhamisha dishi lako. Asante
Chanzo:Continental SMS -13 FEB 2019
 

msigazi

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
413
500
Kwa waliohamisha zinapatikana channel ngapi?

Heri Uzee
kuliko uzembe.
 

gomer

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
290
225
...
zinapatikana channel 38 ila zinazoonyesha ni channeli 30.
Sat 45e; freq ni 11625; symb ni 30000; pol ni H.
...
 

gomer

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
290
225
Ndugu mteja uliyefanikiwa kubadilisha muelekeo wa dishi lako la Continental tafadhali tuma neno DISHI (ach nafasi) namba yako ya kadi (8123..) kwenda namba 0753639221 ili uweze kupata ofa ya kifurushi pamoja na kurudishiwa kifurushi kilichotumika kipindi cha matengenezo. Asante
Chanzo: Continental SMS - 15 FEB 2019
 

gomer

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
290
225
...
channel zinazo tazamika ni tatu - Taifa TBC1; Wasabato Hope Channel; Star tv.
..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom