Kilichowawezesha ku-confirm kwamba kuna Boson particle ni baada ya kuwa wame-accelerate particles katika speed karibu na ile ya mwanga, ila ni ndogo kuliko ile ya mwanga. Sasa mimi ninachosema ni kuwa, pengine kama wangekuwa wameweza ku-accelerate hizo particles kwa speed ambayo ni kubwa kuliko ile ya mwanga, nadhani hiyo ndiyo ingeweza kuwa habari mpya kwako, na actually isingekuwa kwako tu, ila hata na kwa wengine, hata mimi, and Einstein also being inclusive!