W wimbi la mbele JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 647 Reaction score 269 Mar 13, 2011 #1 nafikiria kuagiza hii nimeambiwa bei zimeshuka...na naipenda kuliko VOGUE (kubwa na ile sport) sasa maswali: 1. niagize wapi kati ya Dubai, South Africa, Japan au Europe? 2. please advise on bei, 3. maintenance, 4.upatikanaji wa vipuri 5. Je itaweza kuhimili barabara zetu za bongo? 6. Ushuru vipi au nipitishie Mombasa? Thanks
nafikiria kuagiza hii nimeambiwa bei zimeshuka...na naipenda kuliko VOGUE (kubwa na ile sport) sasa maswali: 1. niagize wapi kati ya Dubai, South Africa, Japan au Europe? 2. please advise on bei, 3. maintenance, 4.upatikanaji wa vipuri 5. Je itaweza kuhimili barabara zetu za bongo? 6. Ushuru vipi au nipitishie Mombasa? Thanks
Smarter JF-Expert Member Joined Nov 10, 2008 Posts 528 Reaction score 115 Mar 15, 2011 #2 Mzee kwa Hiyo kitu kwa wastan kabisaa ( As far as I am aware) Andaa si chini Ya million 80, Kama utaagiza Japan CIF ni 32,000,000/= Sijui about Dubai and other places.
Mzee kwa Hiyo kitu kwa wastan kabisaa ( As far as I am aware) Andaa si chini Ya million 80, Kama utaagiza Japan CIF ni 32,000,000/= Sijui about Dubai and other places.
G Game Theory JF-Expert Member Joined Sep 5, 2006 Posts 8,546 Reaction score 898 Mar 15, 2011 #3 mhhh tayarisha milioni 130 hivi ukinunua from Saouth ujue umeuwawa..spare toka UK, Dubai na kwingine hazitofanya kazi
mhhh tayarisha milioni 130 hivi ukinunua from Saouth ujue umeuwawa..spare toka UK, Dubai na kwingine hazitofanya kazi
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,683 Mar 15, 2011 #4 nnayo ya japani nilichukua kitu kama 35,000,000
Akthoo JF-Expert Member Joined Nov 5, 2007 Posts 1,066 Reaction score 1,146 Mar 15, 2011 #5 Kuna jamaa katoka nayo South anataka $ 30,000
G Game Theory JF-Expert Member Joined Sep 5, 2006 Posts 8,546 Reaction score 898 Mar 16, 2011 #6 za south na Japan sina hakika nazo za direct toka Birmingham, England uhakika upo sema spea itakumaliza so give or take jaribu Japan south spare zitakutia mimba jiulize kwanini kila mtu mjini ana Vogue lakini hizi ziko chache?
za south na Japan sina hakika nazo za direct toka Birmingham, England uhakika upo sema spea itakumaliza so give or take jaribu Japan south spare zitakutia mimba jiulize kwanini kila mtu mjini ana Vogue lakini hizi ziko chache?