bongo bana...hilo li nchi .. kweli mkuu sio haki wakupe diploma usepe , ! kuna rafiki yangu aliwahi kuniuliza kwa nini nilikimbia muhimbili... nikamwambia huku niliko kuna tofauti kubwa sana na muhimbili... muhimbili unatungiwa mtihani ili ufeli ... wapate kupunguza idadi ya watu while huku nilipokimbilia wana nitayarisha kuwa dactari...
wabongo wamefika kipindi wanadhani chuo chenye kutoa DISCO nyingi basi ndio chuo noma.. kumbe ****** mtupu!!