Disco lavunja ndoa yangu jamani.Mnishauri

Ujue mimi mwenyewe najiuliza hili swali bila majibu. Demu unagombana naye asiende disco halafu bado na wewe unakomaa tu dah!
Kuna watu wengine kuwabadilisha ni ngumu sana..lakn pia sisi wanaume kuna mambo huwa tunajitakia..unaweza kukuta mtu anamganda mtu kwa sababu anapata mzigo kirahisi..lkn unakuta mtu anatabia ya ajabu kweli
 
Mkuu demu kama anatoa mzigo kirahisi na wewe uzinzi upo kwenye damu si unapiga goma tu! Kwani lazima utangaze ndoa?
 
Ok.Pole sana wewe unafikiria maisha yeye bado anacheza kuwa na msimamo mkuu atakusumbua sana huyo mwanamke wa hivyo,kila siku atakua anatafuta sababu ya ugomvi ili afanikishe lake,achana naye

saawa mkuu.ndo wanawake wa kijital hao.ni matatzo matupu
 
asante mkuu,ila cjchukulia huko.kundi ndo limemteka la makahaba.
 
Unataka atulie ijifika mwaka wa 5 wa ndoa aanze kwenda disco au unataka awe real ujue jinsi ya kuhandle?
 
Reactions: BAK
Wengine huwa wanaingia kwenye mahusiano na sheria za ajabu ajabu kuliko hata za polisi!!!! Mrembo anapenda kujirusha badala ya njemba kubadilika ili waende wote anadai hili linavunja ndoa yao!!!! Labda anataka mke wa kumfungia ndani saa zote kama mfungwa hana starehe ya aina yoyote.

Unataka atulie ijifika mwaka wa 5 wa ndoa aanze kwenda disco au unataka awe real ujue jinsi ya kuhandle?
 
Huyo mpenzi wako atakuwa mdengereko
 
Mapenzi niueeeeeeeee! Pole sana

yaan na pia nakaa karibu na club yenyewe nasikia muzk mwanzo mwisho naumia sana na pia dj wa club ni rafik yangu hivyo hua ananitumia sms uck akinieleza mambo anayoyafanya mpenzi wangu.kwakwel naumia sana
 
jifanye na wewe unapenda kwenda club ikiwezekana unamuambia kila anapojisikia kutoka basi awe anakufahamisha mnatoka wote hapo ndo utakapokuja fahamu kuwa njia ya mtu muongo ni fupi
 
Hiyo ni njia tu kubadisha koni yenye ladha tofauti chapa ilale
 
Wamakonde nao wanapenda sana ngoma hapo jiandae kuwa unamwachia anaenda kuchezwa ngoma kila wikiendi,

kanambia tuweke ratiba angalau mara mbili kwa mwezi kwan yy anapenda disco,nilienda jana disco kaniona kanipotezea na baada kutoka disco aliindika sms kwamb YUKO TAYARI KURUDI HOM KAMA NITAKUBAL OMBI LAKE NA TUWE TUNAFUATANA KASEMA
 
jifanye na wewe unapenda kwenda club ikiwezekana unamuambia kila anapojisikia kutoka basi awe anakufahamisha mnatoka wote hapo ndo utakapokuja fahamu kuwa njia ya mtu muongo ni fupi

jana nilienda disco.kaniona kanipotezea lkn mm ckuchelewa nikaondoka.asubuh nakuta sms inasema YUKO TAYARI KURUD NYUMBAN LKN TUWE TUNAENDA JAPO MARA MBILI KWA MWEZI NA TUKIWA TUNAFUATANA.
 
kanambia tuweke ratiba angalau mara mbili kwa mwezi kwan yy anapenda disco,nilienda jana disco kaniona kanipotezea na baada kutoka disco aliindika sms kwamb YUKO TAYARI KURUDI HOM KAMA NITAKUBAL OMBI LAKE NA TUWE TUNAFUATANA KASEMA

Wewe ndo muamuzi angalia unachotaka na kama maamuzi utakayofanya yatakuwa na tija kwa upande wako.
 
jana nilienda disco.kaniona kanipotezea lkn mm ckuchelewa nikaondoka.asubuh nakuta sms inasema YUKO TAYARI KURUD NYUMBAN LKN TUWE TUNAENDA JAPO MARA MBILI KWA MWEZI NA TUKIWA TUNAFUATANA.
sawa kama ni hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…