Pole sana kaka!kwani wewe una umri gani na yeye je?Jamani wanajamvi hamjambo!
Mwenzenu yamenikuta,ninampenzi wangu wa muda mrefu na tulikubaliana tufunge ndoa mwezi wa kumi mara tu nimalizapo ujenzi wa nyumba ya kuishi,
Kila siku namkataza asiende disco lakini mwenzangu kuna wakati anatulia lakini sasa amefikia hatua ikifika jumatano anajigombanisha na anaenda kulala kwao ili ijumaa aende disco.
Kwa kweli nimemvumilia sana na nampenda ila kwa kitendo cha kwenda disco.
Kiliniuma sana na nikamwambia mim nimeshindwa nimeghail yeye akajibu poa.
Naomba ushauri kwa hili na sipendi matusi kwani mwenzenu,nimevurugwa.
kweli kabsa kwan hata nidham ya mume mtarajiwa imeisha.kitu kinachoniumiza ni kwamba nashindwa kumsahau.nishaur ili nimpoteze mazima
Asante kwa ushauri mkuu,kwa hyo niendelee na mcmamo wangu wa kuachana nae moja kwa moja.?
Asante kwa ushauri mkuu,kwa hyo niendelee na mcmamo wangu wa kuachana nae moja kwa moja.?
Tafuta msichana mwingine wa kujikeep busy nae kama mshikaji tuu... Utamsahau lazima
kaka haapo jibu liko wazi, kama yeye amejibu poa,wewe utasema nn tena hapo? otherwise wewe uwe chini na kujipendekeza tena kitu ambacho utakuja kujuta, jibu liko wazi ya kuwa hakufai huyo kaka, umia tu kwa muda mana ulishamzoea then songa mbele
Ok.Pole sana wewe unafikiria maisha yeye bado anacheza kuwa na msimamo mkuu atakusumbua sana huyo mwanamke wa hivyo,kila siku atakua anatafuta sababu ya ugomvi ili afanikishe lake,achana nayemm 34 na yey 23
Ujue mimi mwenyewe najiuliza hili swali bila majibu. Demu unagombana naye asiende disco halafu bado na wewe unakomaa tu dah!Hivi mademu wajinga hivi mnatoagavwapi..!?
kampan anaefuatana nae kwenda disco ni ma l a y a,alafu uko ndo awali nilmkuta na mwanaume lkn akaachana nae,nahic kule ndo mwanzo wa kila kitu