Lilitangazwa bonge la disco ila kuingia lazima uwe na kipala. Mlangoni aliesimama alikuwa kipofu anakagua vipala. Mshkaji mmoja alikuwa ni rasta akataka kuingia. Akaenda pale kwa mkaguzi akavua suruali akamtegeshea makalio. Mkaguzi akapapasa akasema 'Nyie ni mapacha mlioungana eeh,' af akaweka kidole pale katkat akanusa af akamwambia'af m1 wenu hajapiga mswak, sku nyngne usije disco bila kupiga mswaki, haya nendeni' .... Mshkaj akapita