S sky_haf JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 220 Reaction score 23 Jun 5, 2013 #1 habari, naomba discussion ya mawazo yenu hasa watu wa fani za IT Kuna umuhimu wa kujua programming languages nyingi (mf. C++,C, phython, perl) au kuwa na language moja ambayo utakua na ufanisi nayo?(mf. Kuwa na python tu, au C++ tu)
habari, naomba discussion ya mawazo yenu hasa watu wa fani za IT Kuna umuhimu wa kujua programming languages nyingi (mf. C++,C, phython, perl) au kuwa na language moja ambayo utakua na ufanisi nayo?(mf. Kuwa na python tu, au C++ tu)