Sidhani kama kuna Passwords ambazo mamii hajui, kasoro ya bank tuuu! Yupo huru na simu yangu kama yake vile na sioni tatizo kwa kuwa natumia highway only. Mara moja moja huwa nashika simu yake na hana tatizo. It's a matter of trust only.
Huwezi kuamini mimi huwa mke wangu anazo password zote mpk za benki, at any time akitaka kufanya kitu chochote anafanya, hata km anashida yoyote ile na mimi cpo anachukua pesa km kawaida nikirudi ananiambia!
Weee mentor kazoefuu!!!
Mmmh umenikaukia mshkaji!
Ah weyee ndo umeuchuna! Stop blamn me"
Mie natumia simu ya Mkonge Mkuu
mkuu BAK kuna kitu inaitwa PM...hadi room number tunamalizia hukuhuku simu haihusiki kabisa.
Mmmhhhh!!! Napata picha ya land cruiser hard top.....
Ukitaka kukorofishana na demu wako mwambie leo naenda kazini na simu yako na ww chukua simu yangu!Niliwahi tukanwa hadi jina la Mama yangu la utotoni ahahahaha!
Maskini kumbe wala hakujua kama namtania tu maana mm mwenyewe pia kimeo!
hahahahahaha! umenichekesha sana, ikitokea amepata dharura wakati anakuja kwako????? au ndo utachomeshwa mahindi weeee!!!!
Bwahahahahah ebu niondolee balaa lako! Mentor