Direct costs za vyuo vikuu zichunguzwe

Direct costs za vyuo vikuu zichunguzwe

fagix

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
739
Reaction score
558
Habara wakuu
Naandika haya kwa kuwa kuna baadhi ya vyuo nchini vikiwa vinatoza direct cost kubwa ambayo no zaidi ya ada ya semester moja

Mfano kunachuo kipo bagamoyo ada take n 1250000/=tshs
Lakini inatoza direct cost ya 650000/= ambazo mwanafunzi anatakiwa atowe kwa Mara moja hiyo hela ili asajiliwe

Cha kushangaza ndani ya hiyo laki sits kuna 380,000/= inaitwa general service,bila kutolea ufafanuzi hii general service inahusu nn zaidi

Nimeweka viambatanisho viwili moja n cha chuo hicho kingine ni chuo kinachotoa degree kama ya chuo hicho ambacho kina huduma zote kukizidi hiki chuo cha hapo bagamoyo

1477373410891.png

1477373432447.png
 
Biashara mkuu.. Vyuo vingine vinaanzishwa Ili kuwaumiza wanafunzi Ili wenye chuo wajenge kupitia gharama za wanafunzi
 
mmiliki wa chuo anafaidika sana ,,yaani general service 380,000 ,,iyo hela atajenga ghorofa,,kumbe ujanja ni kuanzisha chuo aiseeeunapiga hela kama hizi ambazo ni lazima zilipwe....kudadadadadadadadadadadadadadadadadadadadadadadadadeeeeeeeeeeeeeeeeeekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hiki chuo in shidaaa mheshimiwa apitie na huku

Naskia alikisema cku ya uwekaji jiwe LA msingi kwa hostel udsm kuwa chuo kilikuwa secondary lakin Leo in chuo kikuu
Hakina equipment za kutosha

Hii ni kweli jengo bado linajengwa lakin humo humo watu wanaendelea kufundishwa in dhida tupu
 
Kweli icho chuo ni jipu kitumbuliwe tu au ni cha wanene wanalindana
 
Mbona hata sisi tumelipa we kasoma tu, ungechagua vyuo vya serikali
 
Back
Top Bottom