Ulipokuwa unasema we wa muhas ulikuwa unamaanisha nini??
Haya tuambie tofauti ya TEKU na St John ni ipi? Nyie huwa mnakimbia kwenu kisa hali ya kipato kazi yako kuzunguka humu jf na kujifanya unasoma muhimbili
Ona hapa unadanganya wewe ni first year wa muhimbili
Nini hatma ya waliokosa Mkopo toka HESLB 2013?
Ukiwa muongo usiwe msaulifu hapa unadanganya wewe ni second year wa muhimbili
Mishahara
Acha ujinga kijana