Dira ya Rais Samia mkoani Katavi

Dira ya Rais Samia mkoani Katavi

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
843
Reaction score
1,024
Mkoa wa Katavi ni miongoni mwa mikoa minne mipya (Katavi, jombe, Simiyu na Geita) iliyoamuliwa kuanzishwa na serikali kwa lengo la kusogeza huduma za ki- utawala na Ki-uchumi kwa wananchi.

Katavi ni maarufu kwa shughuli mbali mbali za kiuchumi ikiwemo Kilimo, Uvuvi na Ufugaji.

Ardhi ya Katavi imebarikiwa kwa aina mbili za udongo (Tifu tifu na Kichanga) unaoruhusu uzalishaji wa Mahindi, Mihogo, Tumbaku, Maharage, Karanga, Alizeti, Miwa, Ndizi, Kahawa, Viazi Mviringo, Mpunga, Matunda (Horticulture), Ulezi, Mtama, Michikichi, na Mihogo. Mkoa wa Katavi una jumla ya Wilaya 4, Tarafa 10, Kata 58 na Vijiji 177.

Dira na Azma ya Mhe. Rais Dkt. Samia imefanya mageuzi Mamkubwa sana katika mkoa wa Katavi pamoja na;
1. Mageuzi makubwa ya Miundombinu ya Ujenzi wa Barabara na madaraja
2. Kukamilisha ujenzi kwa kiwango cha lami Barabara ya Mpanda-Tabora (km 337.429)
3. Komanga-Kasinde (Km 108)
4. Barabara ya Kasinde-Mpanda (Km 105.389)


@samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano
#DiraYaSamia

 
Back
Top Bottom