mgonjwa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 514 Reaction score 223 Dec 5, 2013 #1 Wameniita kwenye interview na hawa jamaa wa gazeti la dira ya mtanzania position ni sales Person .....naomba information kidogo kuhusu hii media wadau nafahamu tu ipo chini ya msama production mzee wa matamasha ya krismasi na pasaka nawakilisha
Wameniita kwenye interview na hawa jamaa wa gazeti la dira ya mtanzania position ni sales Person .....naomba information kidogo kuhusu hii media wadau nafahamu tu ipo chini ya msama production mzee wa matamasha ya krismasi na pasaka nawakilisha
barafu JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 6,739 Reaction score 32,945 Dec 5, 2013 #2 Jiandae mshahara kupata tarehe 40 ya kila mwezi