muonamambo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 879
- 551
Dira ingekuja na Graph na Key performance indicators .Figures na Projection .
Ninachokiona na Maneno Mengi yasiokuwa na scientific back up !
Botswana wana Dira ya Miaka 25 .
Mambo makubwa wanayoweka humo .
Miundombinu ya barabara .
Wanaontesha kila mwaka watajenga km ngapi za barabara , Barabara zipi, Maeneo gani na source za fedha zitatoka wapi. Wanaweka hayo kwa Miaka 25.
Kupima viwanja na kuweka huduma muhimu.
Wanaonyesha viwanja vitapimwa maeneo mbali mbali lwakiguza kila mkoa , Wanaonyesha upelekaji wa huduma kama umeme , Maji na Waste water system.Wanaonyesha Estimate budget na where to source hiyo fedha . Wanatengeneza mpango wa miaka 25 na mpango wa kila mwaka .
Umeme. na Maji.
Wanatengeneza mpango wa kuzalisha na kusambaza Umeme na Maji wa miaka 25 , Wanaeeka kila mwaka ni maeneo gani yatafaidika, Budget zake na wapi watapata pesa.
Hospital na huduma za Afya … The same
Source za Fedha
Migodi.. Wanaweka mpango wa kuongeza uzalishaji wa mazao ya madini na kuongeza tija , Wanaweka budget ya kuongeza uzalishaji, Budget ya utaalamu na kusomesha watu wao.
Tourism.
Wanaweka mikakati ya kuongeza mapato ya sector ya Tourism kwa miaka 25 , Maeneo na budget .
Kilimo .
Wanaweka mikakati ya kilimo kwa miaka 25. wanaweka budget na performance zilizopita ..
Mkuu umeipitia na kuisoma Dira yetu ?
1. Tunaambiwa Dira imekusanya Maoni ya Watu 10000 Plus .. Hilo sio Tatizo, Tatizo baada ya kukusanya hayo maoni ni watu gani wanatakiwa kukaa na kuchangua kisha kuandaa Dira?
2. Dila lazima ijikite kuwenye vitu vichache amabavyo ni vipaumbele vya nchi .. Kwenye mapato na kwenye matumizi.
3. Lazima ilekeze mfano kwenye mapato ni sector zipi nchi itajielekeza na kuleta historia ya performance ya sector hizo, Changomoto, Ushauri wa kuyatatua, Resources, Busget za kuongeza tija nk nk
4. Kwenye matumizi, Serikali inatakiwaa kujikita katika huduma muhimu na kuweka vipa Umbele. Mfamo , Miundombinu ya barabara, Reli, Miji nk , Kuweka kila Target za mwaka na miaka 25, Same on Umeme, Maji, Hospital na Huduma zingine muhimu hata mipango miji na vijijiji.
5. Dira lazima iangalia baseline performance na kuja na realistic projection .
Sasa nilichokiona leo . Sijui labda mimi sielewi maana ya Dira