Diplomasia imevunjwa: Kuzuia RC Makonda kwenda U.S.A ni kosa la kidiplomasia. Walipaswa kufunga ubalozi wao kwanza. Tutarajie tamko la Rais au Kabudi

Katika uwanja wa itifaki RC hawezi kwenda nje ya nchi kumwakilisha rais... RC ni level ya chini sana... Juu yake kuna mabalozi, mawaziri makatibu wakuu nknk

Jr

Mshana inakuwaje siku hizi unachangia upuuzi? Soma halafu angalia kwingine kwenye hoja sio iujibishana na mtu asiyejua hata protokali za kawaida...the guy is too low
 
Nchi wanachama wa umoja wa mataifa zinaendeshwa kwa misingi ya Diplomasia!
Kwenye uwakilishi wowote wa kimataifa; Rais anaweza kumtuma hata RC au DC kumuwakilisha kimataifa!

Hivyo Kumzuia mteule wa Rais kukanyaga marekani maana yake ni sawa na kumzuia Rais mwenyewe kukanyaga Marekani!

Walipaswa kufunga ubalozi wa marekani kwanza kabla ya kutoa tamko la kumzuia RC makonda!

Vinginevyo hii habari iwe imetengenezwa na chadema waishio marekani!

Balozi wa Marekani aitwe Ikulu ahojiwe! Ikiwezekana na ubalozi ufungwe rasmi.

Wamembipu Rais Magufuli, atawapigia siku ya kuwaapisha wateule wake Ikulu Jumatatu!

Alamsiki
Wafunge ubalozi kwa sababu ya mtu mmoja
 
Africa inaumizwa na wapuuzi sampuli hii
Nchi wanachama wa umoja wa mataifa zinaendeshwa kwa misingi ya Diplomasia!
Kwenye uwakilishi wowote wa kimataifa; Rais anaweza kumtuma hata RC au DC kumuwakilisha kimataifa!

Hivyo Kumzuia mteule wa Rais kukanyaga marekani maana yake ni sawa na kumzuia Rais mwenyewe kukanyaga Marekani!

Walipaswa kufunga ubalozi wa marekani kwanza kabla ya kutoa tamko la kumzuia RC makonda!

Vinginevyo hii habari iwe imetengenezwa na chadema waishio marekani!

Balozi wa Marekani aitwe Ikulu ahojiwe! Ikiwezekana na ubalozi ufungwe rasmi.

Wamembipu Rais Magufuli, atawapigia siku ya kuwaapisha wateule wake Ikulu Jumatatu!

Alamsiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapuuzi wengi huku Africa nikawaida kulalama walipoangukia badala ya walipojikwaa
Wapinzani wanavyotetea hao mabeberu, wanafikiri wao wanawekwa pembeni mambo yakiharibika, mambo yakiharibika ni kwa wote.

Nadhani umeona namna athari ya ujinga isivyobagua. DV Lottery wamefungiwa watanzania wote, hakuna aliyebaguliwa, yaani hata Zito au Fatma au mbowe , wote wamezuiliwa. Beberu hana rafiki zaidi ya kutunyonya.

Mjifanye kuwatetea na kuwapa taarifa za uongo, kumbe mnajiangamiza wenyewe. in the long run. Huko libya , Iraq na kwingineko, wanaumia wote, hakuna anayepona na ujambazi wa hao mabeberu. Ni wezi na wauwaji walio kubuhu.

Huyo Pompeo mwenyewe akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya marekani ndio aliyeleta balaa huko Iraq na kwingineko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi wanachama wa umoja wa mataifa zinaendeshwa kwa misingi ya Diplomasia!
Kwenye uwakilishi wowote wa kimataifa; Rais anaweza kumtuma hata RC au DC kumuwakilisha kimataifa!

Hivyo Kumzuia mteule wa Rais kukanyaga marekani maana yake ni sawa na kumzuia Rais mwenyewe kukanyaga Marekani!

Walipaswa kufunga ubalozi wa marekani kwanza kabla ya kutoa tamko la kumzuia RC makonda!

Vinginevyo hii habari iwe imetengenezwa na chadema waishio marekani!

Balozi wa Marekani aitwe Ikulu ahojiwe! Ikiwezekana na ubalozi ufungwe rasmi.

Wamembipu Rais Magufuli, atawapigia siku ya kuwaapisha wateule wake Ikulu Jumatatu!

Alamsiki
Acheni kuua Watanzania wenzenu na kujifanya Watanzania zaidi ya wengine mtabaki salama..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunahitajika kushusha kila kitu kinachoitwa munkari kudeal na hii inshu kama kuna ukweli kuhusiana na ya makonda ubabe,ujuaji,umasikini jeuri hautatusaidia isipokuwa akili na maarifa ndo ibaki kuwa nguzo yetu

Wazungu ni wanyoyaji ila kwa sasa kama Taifa tutumie akili kuupinga huu unyonyaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapinzani wanavyotetea hao mabeberu, wanafikiri wao wanawekwa pembeni mambo yakiharibika, mambo yakiharibika ni kwa wote.

Nadhani umeona namna athari ya ujinga isivyobagua. DV Lottery wamefungiwa watanzania wote, hakuna aliyebaguliwa, yaani hata Zito au Fatma au mbowe , wote wamezuiliwa. Beberu hana rafiki zaidi ya kutunyonya.

Mjifanye kuwatetea na kuwapa taarifa za uongo, kumbe mnajiangamiza wenyewe. in the long run. Huko libya , Iraq na kwingineko, wanaumia wote, hakuna anayepona na ujambazi wa hao mabeberu. Ni wezi na wauwaji walio kubuhu.

Huyo Pompeo mwenyewe akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya marekani ndio aliyeleta balaa huko Iraq na kwingineko.
Yote katika yote kilio cha 500$Mlns ndio nikajua mengi kumbe..

Watu wangekuwa na Hekima tusingefika huko.Maana ndiko walikohitaji tufike.
 
Bravo USA, zuia mbweha wote wanaotumia nafasi zao kunyanyasa wananchi. Msiishie hapo, najua mnazijua
 
Nchi wanachama wa umoja wa mataifa zinaendeshwa kwa misingi ya Diplomasia!
Kwenye uwakilishi wowote wa kimataifa; Rais anaweza kumtuma hata RC au DC kumuwakilisha kimataifa!

Hivyo Kumzuia mteule wa Rais kukanyaga marekani maana yake ni sawa na kumzuia Rais mwenyewe kukanyaga Marekani!

Walipaswa kufunga ubalozi wa marekani kwanza kabla ya kutoa tamko la kumzuia RC makonda!

Vinginevyo hii habari iwe imetengenezwa na chadema waishio marekani!

Balozi wa Marekani aitwe Ikulu ahojiwe! Ikiwezekana na ubalozi ufungwe rasmi.

Wamembipu Rais Magufuli, atawapigia siku ya kuwaapisha wateule wake Ikulu Jumatatu!

Alamsiki
kwani kwa akili yako MAKONDA ni diplomat? na yeye kama mkuu wa mkoa ana jukumu lolote linalomlazimu kufanya kwa kusafiri nje ya nchi? yeye si anaishia dsm pekee?

tofautisha huyo na mtu kama foreign affairs minister, PM na wengine ambao kwa kazi yao wanalazimika kusafiri, wasiposafiri wananchi wasio na kosa wataathirika. una elimu gani mzee? labda tuanzie hapo
 
Lakini haya yote yamesababishwa na ccm
Wapinzani wanavyotetea hao mabeberu, wanafikiri wao wanawekwa pembeni mambo yakiharibika, mambo yakiharibika ni kwa wote.

Nadhani umeona namna athari ya ujinga isivyobagua. DV Lottery wamefungiwa watanzania wote, hakuna aliyebaguliwa, yaani hata Zito au Fatma au mbowe , wote wamezuiliwa. Beberu hana rafiki zaidi ya kutunyonya.

Mjifanye kuwatetea na kuwapa taarifa za uongo, kumbe mnajiangamiza wenyewe. in the long run. Huko libya , Iraq na kwingineko, wanaumia wote, hakuna anayepona na ujambazi wa hao mabeberu. Ni wezi na wauwaji walio kubuhu.

Huyo Pompeo mwenyewe akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya marekani ndio aliyeleta balaa huko Iraq na kwingineko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi wanachama wa umoja wa mataifa zinaendeshwa kwa misingi ya Diplomasia!
Kwenye uwakilishi wowote wa kimataifa; Rais anaweza kumtuma hata RC au DC kumuwakilisha kimataifa!

Hivyo Kumzuia mteule wa Rais kukanyaga marekani maana yake ni sawa na kumzuia Rais mwenyewe kukanyaga Marekani!

Walipaswa kufunga ubalozi wa marekani kwanza kabla ya kutoa tamko la kumzuia RC makonda!

Vinginevyo hii habari iwe imetengenezwa na chadema waishio marekani!

Balozi wa Marekani aitwe Ikulu ahojiwe! Ikiwezekana na ubalozi ufungwe rasmi.

Wamembipu Rais Magufuli, atawapigia siku ya kuwaapisha wateule wake Ikulu Jumatatu!

Alamsiki
Ajaribu aone kitakachomkuta
 
Tujikumbushe
IMG_20200201_135350.jpeg

..
This is a joke..
Siipendi Us kiivyo but this is Trash!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom