Diploma ya shule ya msingi

Diploma ya shule ya msingi

yalimoz

Senior Member
Joined
Jul 22, 2015
Posts
179
Reaction score
6
Je mshahara wa diploma ya shule ya msingi na sekondari mshahara unalingana? naomba mnisaidie kama hujui ni bora ukae kimya kuliko kunidanganya.

Maana nataka kufanya maamzi ya kipi ni some.
 
je mshahara wa diploma ya shule ya msingi na sekondari mshahara unalingana? Naomba mnisaidie kama hujui ni bora ukae kimya kuliko kunidanganya. Maana nataka kufanya maamzi ya kipi nisome.

ipo sawa tu
 
diploma msingi ni tgts B
diploma sec. ni tgts C
nadhani ni tofauti kabisa
ngoja wataalam waamke
 
Jaman sirikali haijui hayo mnayoyasema mara gpa mara diploma ya awali, msingi au upili au vyuo sijui nni kama ni ualimu diploma ni tgts C. Ila advance diploma huwa ni equivalent to degree hata mishahara inalingana. Na kumbuka diploma ya ualimu ndo inalipwa kidogo zaidi ukilinganisha na diploma za fani nyingine kama afya, uhandisi au sheria. Tena huku kibaya zaidi hata masters na PhD hawazitambui halafu eti ni elimu. Ilitakiwa kuwe na mishahara inayokaribiana maana kulingana sio rahisi.
 
kwani mshahara ni kiasi kwa mwalimu wa diploma?
 
Haziko sawa wasikupotoshe,wale wa msingi waki B na wa sec wako C tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom