Diploma ya Pharmacy vs Laboratory technology

Ninakushauri kasome pharmac ht uraiani utapiga pesa tu kwny dispensar na OTC
 
ok kwann digri ya phrmcy na sio ya Lab
Degree ya Pharmacy chet chake unaweza kuweka kwenye maduka ya dawa ya private na ukala hela. But kwa Lab hicho kitu walikuwa wanakipigania sijuwi kama imefanikiwa.
 
Degree ya Pharmacy chet chake unaweza kuweka kwenye maduka ya dawa ya private na ukala hela. But kwa Lab hicho kitu walikuwa wanakipigania sijuwi kama imefanikiwa.

nime kuelewa mkuu[emoji1317]
 
Degree ya Pharmacy chet chake unaweza kuweka kwenye maduka ya dawa ya private na ukala hela. But kwa Lab hicho kitu walikuwa wanakipigania sijuwi kama imefanikiwa.
Imefanikiwa ila pesa ni maelewano ila pharmacy wao baraza lao wameweka kiwango ambacho huwez kuweka cheti chini ya hicho kiwango, Ila taabu ni kupata hayo maduka
 
kwann mkuu
Fursa za kuajiriwa hasa private ni nje nje ila uwe competent, hata kujiajiri km mtaji unao fursa ni kubwa tu...Nimesema asa Diploma sababu kubwa ndio wanaajirika sana private simply because gharama ya kulipwa ni nafuu ukilinganisha na bachelor, ili hali Dip anauwezo wa kuperform majukum yote ambayo bachelor bachelor anaperform hasa kwa level na technology ya lab zetu nyingi both privste na public hapa bongo..
 

thanks a lot[emoji1317]
 
Nme kulewa jamaa
 
Imefanikiwa ila pesa ni maelewano ila pharmacy wao baraza lao wameweka kiwango ambacho huwez kuweka cheti chini ya hicho kiwango, Ila taabu ni kupata hayo maduka

Tabu kupata maduka ya kuweka cheti? Mkoa gani huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…