Diploma ya Pharmacy vs Laboratory technology

peterK2

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
293
Reaction score
91
Ipi ni nzuri kwa upande wa ajira kati ya diploma ya pharmacy na laboratory?

Zote nazipenda na naamini naweza kuzimudu au ipi inaweza fanya ukajiajiari kwa urahisi?

Asanteni na naomba mawazo yenu tafadhali
 
Last edited by a moderator:
samahani mkuu naomba ufafanuzi kama ina wezekana kwa uelewa zaidi kwanini medical lab tech
Uhitaji ( Idadi ) wa medical lab personnel katika maspitali ni mkubwa kuliko wapharmasia.
Pia kujiajiri kwa Medical lab ni rahisi kunahitaji mtaji mdogo tu kwa Routine test, japo kuna vifaa vyengine bei zake ni hatari sana vya Routine test huwa afadhali.
 
thanks alot
 
Ipi ni nzuri kwa upande wa ajira kati ya diploma ya pharmacy na laboratory?

Zote nazipenda na naamini naweza kuzimudu au ipi inaweza fanya ukajiajiari kwa urahisi?

Asanteni na naomba mawazo yenu tafadhali
Nakusii sana usijiloge kichukua medical lab, soma pharmacy au clinical officer...

Jiulize kwann phamacy ina mkopo alafu hiyo medical haina?? Wake up young man usije juta na kusaza meno kwenye hii tanzania ya viwonder..

NB: huu ni ushauri sio sheria.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wa Pharmacy ni kuwa cheti pia kinakupa hela ila Medical lab sijutii kuipenda. Halafu alokuambia nani kuwa Medical lab haina mkopo?????
 
asante mkuu...ila kozi zote zina mkopo mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wa Pharmacy ni kuwa cheti pia kinakupa hela ila Medical lab sijutii kuipenda. Halafu alokuambia nani kuwa Medical lab haina mkopo?????

[emoji2][emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wa Pharmacy ni kuwa cheti pia kinakupa hela ila Medical lab sijutii kuipenda. Halafu alokuambia nani kuwa Medical lab haina mkopo?????
Ushasema pharmacy ukiwa na cheti tu unapiga pesa which is true, je ukiwa na cheti cha med lab unapiga pesa?

Huoni mpaka hapo pharmacy ina dili kushinda hiyo med lab?
 
Fuata hiv : kama unataka diploma kasome medical lab, kama ni digrii kasome bpharm. Nakuambia hiv kwasababu nimesoma moja wapo ya hizo kozi,
 
Hivi unajuwa system inayotakiwa kufanywa saivi kuhusu Private Lab wakati wanapoenda kusajili Lab???
 
Fuata hiv : kama unataka diploma kasome medical lab, kama ni digrii kasome bpharm. Nakuambia hiv kwasababu nimesoma moja wapo ya hizo kozi,
[emoji122] [emoji122] [emoji122] ...... Nakubaliana na wewe maana hicho cheti nilosema kina hela ni kwa Degree ya Pharmacy siku hizi na sio Diploma kama zamani.
 
Fuata hiv : kama unataka diploma kasome medical lab, kama ni digrii kasome bpharm. Nakuambia hiv kwasababu nimesoma moja wapo ya hizo kozi,

ina wezekana kwel kibongo kubadili kutoka dilpom ya medical to digri ya phrmcy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…