DIPLOMA YA LAW NA DIPLOMA YA JOURNALISM

DIPLOMA YA LAW NA DIPLOMA YA JOURNALISM

David93

Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
16
Reaction score
3
Stashahada ya sheria na stashahada ya uandishi wa habari(DIP YA JOURNALISM NA DIP YA LAW)

Asalaam alykhum/Tumsifu yesu kristo/Aleyuyah

Wakuu napenda kujuzwa juu ya hizi stashahada mbil tofaut hapo juu ipi ni nzuri kuendana na hal ya sasa kiuchumi nikiwa na maana kwenye soko la ajira kama kuajiliwa na kujiajili

Huku nikifahamu kozi za sanaa ni mzigo kwa wasomi wengi hasa nchin kwetu huku tukiamin elimu ndio njia sahihi ya kufika njia sahihi

Kwa wenye kujua diploma hizi mbili katika hali halisi ipi ina uthaman kuliko nyingine kimtazamo na kimaslahi

Nina dogo wangu ana astashahada ya uandishi wa habari kamaliza mwaka jana,mwaka huu nilidhani angeendelea na stashahada ya kozi hiyo ila gafla kabadilika anataka kusoma diploma ya law hatimae bachelor ya law.Thats why nauliza maswali hayo juu ili kumpa mwanga

NAKARIBISHA MAONI YENU WADAU

Binafsi sijasoma ndiyo maana nataka kujua dogo yupo sahihi au lah
 
Zote mizigo tu...ila kati ya hizo ni bora hata asome Diploma in Law
 
Soma law Afu alenge Ajira Katika majeshi....
 
Back
Top Bottom